Kipindi hiki husikika kila siku asubuhi saa mbili na nusu hadi saa tatu kamili(8:30-9:00).
Lengo la kipindi hiki:
- Kuburudisha na kuzitambulisha vikundi vya kwaya au mwimbaji mmoja mmoja.
- Kupata ujumbe wa neno la Mungu na kuzitambua kwaya tulizonazo.

